Posts

Showing posts from January, 2024

UNATAKA Kuwa Mwanaume wa Shoka Siku Zote..Epuka Mazoea ya Kula Vyakula Hivi Katika Maisha Yako..!!!

Image
Katika post hii utajifunza vyakula mbalimbali ambavyo wanaume hawatakiwi kula ili kubaki na afya bora wakati wote. Kuna vingine unaweza kuwa unavitumia kila siku bila mwenyewe kujuwa. 1. Punguza kula vyakula feki kuzuia kupoteza nywele Moja ya matatizo makubwa upande wa urembo kwa wanaume ni kupoteza nywele (upala). Lakini kama unatafuta kitu cha kukilaumu dhidi ya tatizo lako la kunyonyoka nywele basi ni hiyo sahani yako ya chipsi unayokula kila siku. Vyakula feki (junk foods) ni hivyo vinapatikana kwenye fast foods na takeaway centers nyingi hasa mijini kadharika vyakula vile vyote vya kwenye maboksi. Vyakula hivi feki vina kiasi kingi mno cha lehemu (cholesterol) na lehemu hii hupelekea kile huitwa kwa kitaalamu kama ‘pregnenolone’ na kupelekea kiasi kikubwa cha ‘dihydrotestosterone’ (DHT) na hatimaye kupotea kwa nywele kichwani a.k.a upara. Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwa ni jambo la kurithi (genetics) lakini vile vile aina ya chakula unachokula kinaweza kuwa kinahusika moja kw...

Mwanaume Ukitumia Aina Hii ya Chai Utakuwa Mwanaume Haswa!

Image
Leo nakuletea mada nzuri kuhusu namna ya kutengeneza chai ya viungo vya chakula ambayo mwanaume akiitumia atakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na atakuwa na nguvu kubwa za kiume. Chai hii inaboresha shahawa za mwanaume kwa kiwango kikubwa kwa maana ya kuondoa tatizo la mbegu za kiume kuwa na umbo lisilofaa (sperm abnormalities), kuongeza wingi wa mbegu za kiume ndani ya shahawa (sperm count) na kuongeza kasi ya mbegu za kiume kuogelea ndani ya uke wa mwanamke (sperm motility). Chai hii itamfanya mwanaume kuwa rijali haswa kwani atakuwa na hamu kubwa ya kufanya mapenzi (libido), ataweza kuanza na kumaliza tendo bila kuishia njiani hali ambayo inawakera wanawake, inafanya uume kuwa mkubwa na inafanya uume kusimama haswaa kibabe na kufanya mashambulizi maridadi kunako sita kwa sita. Kabla sijakueleza namna ya kuandaa chai hii napenda niwambie wanaume wenzangu kuwa matumizi ya chai na kahawa yenye caffeine sio nzuri kwao kwani huchangia kupunguza nguvu za kiume na kuzorotisha ubora wa shahaw...